JISAJILI KUJIFUNZA UJUZI WA TEHAMA YA JUU
Kupitia programu zetu za kipekee, utapata fursa ya kujifunza na kuboresha ujuzi wako katika nyanja mbalimbali za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)!.
Pamoja na walimu wenye uzoefu na mbinu za kufundishia za kisasa, tunakuhakikishia mazingira bora ya kujifunza ambayo yanakufanya uweze kufikia malengo yako kwa urahisi. Jiunge nasi leo uanze safari yako ya mafanikio katika TEHAMA!
0 Comments