Fahamu kila kitu kuhusiana na search engine ,,,, Engine ya utafutaji kwa kiswahili mfano google,bing , yandex na yahoo.
Search engine / Ingine ya utafutaji
Ni mfumo wa program ambao kazi yake unatafuta kurasa za wavuti zinazofanana na utafutaji wa wavuti.
Ni kwa namna gani search engine zina fanya kazi ???
Yeyote anaye miliki search engine basi anakuwa na stoo ya taarifa nyingi sana kutoka pande zote za dunia, kwahiyo sasa unapo tumia search engine ukiandika neno lolote yenyewe kazi kubwa ni kuchukua neno uliloliandika na kulinganisha na chochote kinacho fanana na maneno yako kama kipo kwenye stoo na kuchukua kila kitu kinacho fanana na ulicho andika inakuletea kama majibu ya utafutaji
Hii ndio google search engine
Kama inavyoo onekana kwenye picha hapo chini unaweza ukaandika chochote unacho jiskia na search engine ikakulete kila kitu kinacho fanana na ulicho andika ili uchague ulicho kuwa unalenga.
Mfano wa tukitafuta jinsi ya kufungua kampuni
Google search wata leta vitu vingi kama inavyo onekana kwenye picha kisha wewe utachagua lengo lango ,,,,,,ANGALIZO mara nyingi watu hufanya utafutaji katika search engine mbalimbali lakini wanasumbuka kupata taarifa walizo zikusudia USHAULI unapo taka kutafuta taarifa yoyote kwenye mtandao kwa kuingia kwenye Browser/ kivinjali<<Nini maana ya browser>> kisha ukachagua search engine unayo taka kutumia basi hakikisha una fahamu mmiliki wa taarifa unayo enda kuitafuta hapo utapata taarifa sahihi kwa mmiliki wa taarifa hiyo na ikitokea haumfahamu mwenye taarifa basi kaa ukijua kuwa haufahamu mwenye taarifa hiyo kwa maana utakutana na taarifa feki nyingi hivyo ujiandae kukubaliana au kuto kukubaliana nao hao walio ziweka
Je ni watu gani huweka taarifa kwenye stoo za wamiliki wa search engine
Wamiliki wa seardh ingine wao wana vyanzo vingi vya kupata taarifa mfano PUBLISHERs kama mimi hapa ninavyo andika ivi naweka maandiko yote haya kwenye search engine au stoo ya google
Japo kuwa kila kampuni ya search engine mara nyingi wanakuwa na softwares zao maalum kwa ajili ya kupata taarifa na kuziweka kwenye stoo zao kutoka kwa makuampuni wenzie ili mtu anapo itafuta taarifa flani asiikose
Zipo Search engine mbalimbali nyingi sana ila wengi wamezoea google search engine
Oradha ya chache kati ya hizo
Zote hizi zinakuwepo kwenye kivinjali chako chochote ni wewe kuchagua utumie ipi kwa muda huo
Zingatio
Baada ya kufahamu yote hayo ni vizuri uka tumia google kufahamu zaidi kuhusia na search engines kwa maana vitu ni vingi na nisingeweza kuandika kila kitu hapa kwenye makala hii
Kama unaswali unaweza kutoa comment yako mimi nitaiona na kuku jibu kwa muda na wakati sahihi.
Vile vile mimi ni mkufunzi au mwalimu wa
Android programming kwa kutumia Java programming language unaweza kufahamu zaidi kuhusiana na hili kwa kujiunga kwenye mafunzo ya android programming kupitia link hii JIUNGE NA MAFUNZO
Au ukawa mteja wa vitabu vyangu maalumu kwa ajili ya kuelekezea au kufundishia ANDROID PROGRAMMING
Book 1 tsh 5,000/=
Book 2 tsh 5,000/=
Ninaposema android Programming namaanisha UTENGENEZAJI WA APPLICTION ZA SIMU JANJA mfano facebook na whatsapp
Wasiliana na mimi kwa namba 0682329852
0 Comments