Blog ni nini
Blog ni ukurasa wa wavuti ambao una huwishwa kila mara
Blog ni sehemu ya mtu yoyote kuandika makala kuhusiana na kitu chochote ili watu waweze kusoma wakiwa mahala popote
Blog muda mwingine inatumiwa kibiashara na wafanya biashara kwa kuandika maelezo kuhusu biashara zao ili pindi mtu yoyote atakapo watafuta iwe ni rahisi kupata maelezo mazuri ambayo yana kuwa tayari yamechakatwa
Mfano custom care ni mtu wa mwanzo kabisa anaefanya kazi ya kuwapa maelezo wateja kuhusiana na biashara, sasa hii kazi muda mwingine inaweza ikawa inachosha sana kwa kua atakuja mteja wa kwanza utampa maelezo yale yale atakuja mwingine utampa maelezo yale yale mwisho wa siku hii kazi inakuwa kama inachosha sasa unapo ambiwa technology imekuja kwa ajili ya kurahisisha mambo ndio hapa sasa, kwenye blog inaweza wekwa maelezo mara moja tu kuhusiana na jambo flani na yakasomwa na kila mtu bila custom care kufanya chochote
Blog ni sehemu ambayo unaweza gundua hitaji flani la watu na ukawa unawatimizia hitaji hilo kwa kuwa ni hitaji wanalo lipenda basi watu wanamna hiyo watakuwa wanatafuta vitu zako kila mara
Na hivyo ikitokea hawa watu wamekuwa wengi blog yako inaweza kuku patia kipato
Namna ambazo blog inaweza kukupatia pesa
Jinsi ya kupata pesa mtandaoni
Jinsi ya kutengeneza email
Jinsi ya kuingia kwenye email yako ya zamani
Blogging na pesa mtandaoni soma kwa makini
Mafunzo ya computer kwa kiswahili
Aina za computer
Nini maana ya database
Blog inaweza kukupatia pesa kwa namna nyingi thabiti ila kuna njia moja rahisi ya bila mtaji ambayo ni matangazo kutoka kampuni mbalimbali za matangazo
Kampuni za matangazo zina lipa kwa namna gani???
Kampuni za matangazo zina lipa mtu au ni seme publisher kwa lugha ya kitaalamu baada ya yeye kujisajili na kampuni hiyo bure na kupata kibali bure cha kuweka matangazo ya kampuni kwenye blog site yake
Na pindi watu wanavyo kuwa wakitembelea zaidi katika site yake basi ndivyo kiwango cha pesa kwenye akaunti yake aliyo itengeneza ndani ya kampuni ya matangazo kina kuwa kinaongezeka
Tutaendelea na kipengele kinacho fuata cha
Orodha ya kampuni za matangazo na jinsi ya kujiunga pamoja na kufanya setting za jinsi ya kuo geza kipato.
ILIKUPATA ELIMU HII KIKAMILIFU
Utatakiwa kufanya malipo ya Tsh 5000/=
Pesa ambayo itakupa wewe uhuru wa kujifunza na kuelewa zaidi kabla hauja anza blogging
Kwani nini ulipie
Unalipia kwa sababu kuu moja unaweza jikuta umepoteza muda mwingi kufuatilia kitu ambacho haukiwezi kwa kuwa haukukielewa kabla
Gharama hiyo itakufanya upate ufahamu wa kutosha kuhusiana na blogging.
Baada ya kuelewa utachagua kuendelea au kuacha maana ukianza bila kufahamu chochote utajikuta unapoteza muda wako mwingi sana.,
Ikitokea umependa kufanya blogging basi gharama hiyo hiyo itakupa fursa ya
utafundisha jinsi ya kuanza blogging,
utafundishwa jinsi ya kutengeneza blog pia fahamu kuna utofauti mkubwa sana kati yakutengeneza blog na kufanya blogging ni sawa na anae tengeneza gari na mtumiaji ambaye anapiga pesa kupitia gari ambalo hajui chochote kuhusu namna linavyotengenezwa
Ujuzi wa ku blog
Kama unahitaji msaada wa maelezo ya
kina tuma
Neno BLOG KWENDA NAMBA 0682329852
0 Comments