Privacy Policy

Header Ads Widget

Nini maana ya database

 Database / Kanzi data



Ni mpangilio maalum wa mkusanyiko wa taarifa ambazo huhifadhiwa kwenye mfumo wa computer





Taarifa huhifadhiwa kwa ajili ya urahisi kuzifikia kwa namna nyingi tofauti tofauti


Ni mfumo ambao kazi yake ni maalumu kwa kuhifadhi taarifa katikanmpangilio



Database ina utajili wa namna za kuhifadhi data na utajili wa namna za kufikia taarifa hizo kiurahisi.


Ni software kwa ajili ya kuhifdhi , kuongoza , kupangilia, kupokea na kuvujisha taarifa pindi zinapo hitajika





 Mada Zinginezo

Je database hutumika kwa ajili ya nini ???


Makampuni hukusanya taarifa na kuzihifadhi kwenye database hasa taarifa za michakato ya kibiashara kama vile mauzo na oda mbalimbali 

hii ni kwa sababu data ikiwa kwenye database ni rahisi kuipangulia kwa namna unayotaka.


Database huhifadhi taarifa za wateja au watembeleaji katika sehemu mbalimbali na hata mitandao ya kijamii mfano ni pindi unapo jisajili na Facebook taarifa yako kama mtumiaji huenda moja kwa moja kwenye database za Facebook na kuhifadhiwa huko


Technologia ya database pia hutumika sehemu za hospitalini kuhifadhi taarifa binafsi za wagonjwa na taarifa zingine za michakato yoyote inayoendelea katika taasisi


Database hutumika kuhifadhi taarifa za watu binafsi kama wewe mfano wa taarifa hizo ni medias mbalimbali kama vile videos picha na audios kwa ajili ya kufikiwa mtu akiwa mahali popote na kifaa kingne hata ikiwa ni tofauti na kifaa kile kilicho weka taarifa mwanzoni.


Kuna aina nyingi pia za database kulingana na matumizi


Post a Comment

0 Comments