Jinsi ya kuingia kwenye email yako ya zamani
Inawezeoana kuingia kwenye email yako ya zamani ikiwa tu
1. Unakumbuka email address yako iyo ya zama au
2. Ukiwa na email address yako hiyo pamoja na password
3. Ukiwa na access na recovery option uliyo iweka
1
Utaweza kuingia kwenye email yako ya zamani kwa ku sign in kwenye kifaa chochote iwe ni simu yako au ya rafiki ambapo utadaiwa password
Ikiwa umesahau password basi uta bonyeza palipo andikwa forgot password kisha zita kuja machaguo ya namna ya kuthibitisha kama ni wewe mwenye email au mwizi!!
Mara nyingi
Njia za kuthibitisha kama ni wewe mwenye email huwa ni tatu hapa nazungumzia Gmail
A---Unaweka namba ya simu ambayo uliweka kipindi unafungua email kwa mara ya kwanza ili google waweze kukutumia code maalumu za kuthibitisha kama ni wewe mwenye email.
B---Ikiwa uliweka Email kwa ajilinya kuthibitisha utatakiwa kuweka email hiyo ambayo google watatuma code ili kuthibitisha kama ni wewe mwenye email au la!!!
C---Ikiwa kifaa ulicho tumia kufungua email mara ya kwanza bado kipo hai uthibitisho unaenda kwenye kifaa hicho ili kuthibitisha kama wewe ndio mwenye hiyo email hii inawezekana kama hcho kifaa kimeunganishwa na internet kwa muda huo
Tofauti na kuwa na hizo taarifa Google wanakuwa hawana namna ya kuthibitisha kama wewe ni mmiliki halali wa email hivyo wanashindwa kuku amini na hauwezi kuingia kwenye email kutokana na kukosa taarifa za kuthibitisha kama ni wewe
Mada Zinginezo
Jinsi ya kupata pesa mtandaoni
Jinsi ya kutengeneza email
jinsi ya kuweka program kwenye computer
Jinsi ya kuingia kwenye email yako ya zamani
jinsi ya kuweka program kwenye computer
Blogging na pesa mtandaoni soma kwa makini
jinsi ya kuweka program kwenye computer
Mafunzo ya computer kwa kiswahili
jinsi ya kuweka program kwenye computer
Aina za computer
jinsi ya kuweka program kwenye computer
Nini maana ya database
jinsi ya kujiunga whatsapp
jinsi ya kupata namba ya nida
jinsi ya kuandika cv
So siku ingine kama unafungua email hakikisha hauja ruka kipengele cha kuwema namba ya simu ambayo unaitumia mara kwa mara ili kusaidika pindi unapo sahau password yako au kupoteza kifaa chako
0 Comments