Habari mfuatiliaji wa makala zangu katika blog hii
Leo nitakufahamisha kuhusiana na uwezekano wa kubadilisha table ambayo ipo kwenye format ya docs au kwa lugha rahisi Word document
Jinsi ya kubadili table ambayo ipo kwenye mgumonwa pdf
Kubadulisha documents za aina hizi kuwa MySQL documents kwa ajili ya ku import kwenye Database kusudiwa kwa matumizi mengine kama vile ku fetch data hizo kwa kutumia html na php
Hatua ya 1
Kama document yako ni word
Nenda katika Google
Andika " word to Excel converter"
Kama documents yako ni pdf basi badala ya kuandika word to utaandika pdf to
Kisha utachagua site hii inaitwa Ilovepdf kama inavyo onekana kwenye picha
Hatua ya pili
Baada ya document yako kuwa excel utaenda katika site ingne
Yenye jina tableconvertor. Hii ni tovuti au website itakayo kusaidia kubadilisha excel table kuwa MySQL documents
0 Comments