Jinsi ya kutengeneza application za android
Hapa unahitaji simu au computer
Mtu yoyote anaweza kutengeneza application za android . Katika kutengeneza android application unaweza ukatumia platform kutengeneza Android application kwa njia rahisi sana, na pia unaweza ukajiuliza naanzia wapi kufanya hivyo katika mtandao kuna makala nyingi sana tena kwa lugha ya kiswahili zinazoelezea jinsi ya kutengeneza application za simu kwa njia hiyo ya platform njia hii utaweza kutengeneza application ya ambayo uta install kwenye simu yako lakini itakuwa ya kiwango cha chini sana
Hapa inahitajika compyuta
Mtu yoyote anaweza kutengeneza application za android . Katika kutengeneza android application kwa njia hii mtu itakubidi uwe kwanza na kompyuta ambayo ina ram angalau 4GB, baada ya hapo itatakiwa mtu ujifunze ujuzi kidogo sana kwa ajili ya kuanza safari ambayo itakufanya ujue kutengeneza android application za kiwango cha juu kulingana na utakapo chagua kuishia
Nimeelezea njia 2 mbili
Ufafanuzi kama utachagua njia ya kwanza ni sawa na kucheza cheza hauwezi kuwa na utaalamu wa kukufikisha sehemu yoyote ile
Lakini ukitaka kufika mbali katika hili itakubidi moja kwa moja uchukue uamuzi wa kujifundisha codding angalau kwa masaa mawili ndani ya siku tatu za week kwa muda wa siku sita 6 unapata uwezo wa kutengeneza android application ya aina yoyote ile duniani
Pamoja na kusema hayo kwa hali halisi ni ngumu sana kujua kutengeneza application ndani ya siku 6 ukiwa mwenyewe , kwahiyo kupitia usimamizi wa jiku tech unaweza kamilisha hayo ndani ya siku sita au kabla ya siku hizo kwa gharama ya kununua vitabu viwili kwa ajili ya kukamilisha suala hilo ndani ya siku 6
kama una swali lolote kuhusiana na makala hii unaweza kuandika maoni sehemu ya comment au ukawasiliana na mimi moja kwa moja kwa njia ya WhatsApp 0682329852
0 Comments