Tumejifunza katika somo lililo pita kwamba variable ni lazima iwe data type flani.
Mfano:
int umri = 5;//namba nzima
float mgao = 5.99f; // floating point number
char herufi = 'D' ;//herufi katika alfabet
boolean hali = true;
String neno = "Habari"; //neno string
Data type zimeganyika katika sehemu mbili
Primitive data type
Hizi ni data type zote ambazo mara nyingi ili uzikumbuke ni zile zote zenye herufi ndogo zote
Mfano : int,char, float,boolean
Non primitive
Ni zile ambazo zinaanza na herufi ndogo mwanzoni.
Mfano String, Array, Class
Ni somo fupi lakini ni kipengele cha kukumbuka katika programming
Mwisho wa somo la SITA
0 Comments