SOMO LA 11
Java while loop
Loops zinaweza ku execute block ya code mpaka itakapofikia condition iliyopangwa .
Java while loop
While loop ina pitia block ya code kutafuta condition iliyopangwa.
Yaani yenyewe ina execute tu mpaka itakapo pata condition sahihi .
Syntax
while(condition){
// block ya code
}
kwenye mfano hapo chini , kodi kwenye loop zita run tena na tena mpaka variable ya (i) itakapo kuwa less than (5)
mfano:
int i = 0;
while (i<5){
System.out.println(i)
i++;
}
The do/ while loop
do/while loop
Loop hii ita execute block ya code mara moja kabla kabla haija check condition kama ni kweli,
kisha ita rudia rudia ku execute loop
mpaka itakapo kuwa true.
syntax:
do{
// code block hapa
} while (condition):
mfano:
int i = 0;
do{
System.out.println(i):
i++;
} while (i<50);
Java for loop
kama unajua ni mara ngapi unataka ku loop kwenye block ya code zako tumia for loop badala ya while loop
syntax:
for (statement1;statement2;statement3){
//block ya code zako
}
statement 1;
Hii inakuwa execute mara moja tu kabla ya block ya code zako
statement2:
hii ina define condition au namna ambayo code block yako iwe executed
statement3:
Hii ina kuwa executed mara zote baada ya code block yako kuwa executed.
mfano hapo chini uta print namba kuanza 0 mpaka 4.
mfano:
for (int i =0; i<5;i++){
System.out.println(i);
}
Java Nest Loops
pia inawezekana ku weka loop kwenye loop ingine na hii ndio huitwa nested loop
ile ya ndani inaitwa "inner loop"
ile ya nje inaitwa " outer loop"
mfano: // outer loop
for(int i = 1; i<= 2 ; i++){
System.out.println("outer: " + i);
//Inner loop
for (int j=1;j<=3;j++){
System.out.println("Inner: " +j);
}
}
Mwisho wa somo la 11
0 Comments