Somo 4
Java Comments SOMO 4
Comenti sio kitu kikubwa sana hasa hutumika kuelezea code za java na kufanya zisomeke na kueleweka na mwandishi mwenyewe au mtu mwingine anaye zisoma.
Comenti wakati wa execution huwa hazichuliwi uangalifu na compaila yaan hupuuzwa.
Single line Commenti
Uandishi wa comenti ya mstari mmoja huanza na mikwaju miwili kama nilivyo elekeza kwenye video ya somo la tatu mwishoni (//..)
Maneno yoyote baada ya // kwenye huo mstari hupuuzwa.
Mfano
//Hii ni comenti
System.out.println("Habari");
System.out.println("Habari"); //Hii ni comenti
Uandishi wa comenti za mistari mingi huanza na /* na kuishia na */
Mfano
/* Codi hizi za java zita print neno Habari na utashangaa */
System.out.println("Habari");
Mwisho wa somo la nne
0 Comments