JINSI YA KUFUNGUA EMAIL KWA AJIRI YA SHUGHULI MBALIMBALI
Hapa nitaeleze kiundani na kila kitu kuhusu kufungua email ambayo kupitia hiyo unaweza kufanya mambo mengi sana mtandao bila shaka . Watu wengi hapa bongo wanajua njia ya mawasiliano ni kwa njia ya whatsapp tu, Lakini si kweli kuna njia njia nyingi sana ambazo unaweza kuzitumia kuwasiliana na mtu kwa njia ya mtandao endapo tu unakifurushi cha Internet katika simu yako
Ukija kwa upande wa utumaji wa nyaraka flani maalum mimi binaafsi naaweza pendekeza watu watumie emails kwani ni njia yenye usalama zaidi na inatunza kumbukumbu za mda mrefu sana , hasara za whatsapp unaweza futa kwa bahati mbaya lakini email sio rahisi kufutika labla uamue mwenyewe kufuta nyaraka fulani . ila kama haujafuta zitabaki milele yote ndani ya email na uzuli wake hata ukipoteza kifaa chako unaweza tumia kifaa kingine bila shida yoyote popote pale duniani.
Jinsi ya kupata pesa mtandaoni
Jinsi ya kutengeneza email
Jinsi ya kuingia kwenye email yako ya zamani
Blogging na pesa mtandaoni soma kwa makini
Mafunzo ya computer kwa kiswahili
Aina za computer
Nini maana ya database
Story zisiwe nying sana tujifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza emails kwahatua chache tu
1. Hatua ya kwanza kabisa katika kufungua emails ni kufungu google search engine na utaandika maneno "GOOGLE ACCOUNT" na uta click enter kama unatumia pc au kama unatumia simu utaruhusu ili simu search.
2. Utachagua hilo neno hapo limeandikwa "Create your Google Account" harafu itakupeleka ukurasa unaofuata.
3. Utajaza taarifa zako kwenye nafasi kana inavoonekana
3.Kwa mda mwingine unaweza ukajaza taarifa lakini zikagoma hapo walipo andika username
hapo unataiwa kuaandika jina la pekee ambalo halijawahintumika na mtu yeyote.
kisha uta bofya NEXT
5. Kwa mfano kama hapo iyo password niliyo weka hapo juu 12345678 imegoma kwa sababu ni ya kawaida sana unatakiwa kuweka password ambayo sio rahisi mtu kuotea
Mada Zinginezo
Jinsi ya kupata pesa mtandaoni
Jinsi ya kutengeneza email
Jinsi ya kuingia kwenye email yako ya zamani
Blogging na pesa mtandaoni soma kwa makini
Mafunzo ya computer kwa kiswahili
Aina za computer
jinsi ya kuweka program kwenye computer
Nini maana ya database
jinsi ya kujiunga whatsapp
jinsi ya kupata namba ya nida
jinsi ya kuandika cv
6.Hiyo password hapo sio lahisi mtu kuotea na ukibonyeza batani ya NEXT unaweza kuendelea mbele
7. Baada ya kuendelea utatakiwa kuweka Namba ya simu ambayo itakusadia endapo itatokea siku moja umesahau password
utaweza kurejesha au kubadili kiurahisi sana
Utatumiwa code za kuthibitisha kama wewe ndio mmiliki wa hiyo email
8. Hapa inaonesha kwamba siyo kira namba ya simu unayo iweka kuthibitisha kama ni wewe inafaa , kuna baadhi ya namba huwa zinagoma mfano namba kama za mtandao wa halotel mara nyingi huwa zina goma ila siyo mara zote na namba amabzo zimaewahi kumika kufungulia google account au email zaidi ya mara moja
9.Ukiweka namba inayo kubalika na google basi moja kwa moja kuna code utatumiwa kupitia namba yako ulio iweka na hakikisha ipo hewani ili uweze kupata code za kuthibisha kama ni wewe huwa inakuja SMS ya google kabla ya namba huwa inaanza na herufi G kisha namba, wewe unatakiwa kuandika namba peke yake unaachna na herufi G kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini
10. Unaeedelea na kujaza taarifa zingine kama tarehe ya kuzaliwa
ZINGATIA: Hakikisha unajaza taarifa sahihi kwani husaidia ku huwisha password endapo utasahau password au nenosiri lako.
11.Ukisha maliza kujaza hapo juu taaarifa zako kama inavo onekana hapo juu utabonyeza hapo palipo andikwa Yes, I`m In
12. Hapo utakuwa mekamilisha kusajili google account yako au email address na itakuwa tayari kwa matumizi
0 Comments