Programming concept COMBINATION hii ndio namna ya kuwa bora
Nilienda siku moja kujifunza martial arts kwa ajili ya ulinzi binafsi mwalimu siku ya kwanza kwenye mafunzo tukawa tuna piga ngumi kwenda mbele akasema hiyo. Ni atack ngumi ikienda mbele basi mkono mwingine unakunja kwenda juu
Baada ya hapo akasema tufanye kwa speed
Wengi tulishindwa akasema kwa ukali usipo jua kufanya COMBINATION ya concept alizotufundisha tutajifunza kwa muda mrefu lakini hatuta jua chochote na tuta ishia kuchukia martial arts
Maama bila hivo huwez kufanya hata challenge na mtu kwa kuishia kupigwa tu.
Siku ingne nika kuta ma dancer wa mtaani wanajifunza style ya dance yaani kama wanacheza lakini COMBINATION ya vile vi concept siku ya sherehe nilipenda sana hadi nikataman kuwa dancer
Hahahaha
Wengi wanajifunza concept nyingi sana kwenye programming languages za aina mbali mbali lakini changamoto inakuja kwenye COMBINATION ya concept izo kuwa project!!
Wengi ambao tumejifundisha programming wenyewe tuna ufahamu na concept chache lakini ni mabingwa wa kufanya COMBINATION kuibuka na real project
Walio jifunza masuala hayo mara nyingi ukimpa wazo anakwambia hako cha mtoto kwa kua anafahamu mambo mengi ambayo hawezi hata kuyatekeleza
Its like that master PROGRAMMING CONCEPT COMBINATION kisha kuja na project
Huo ni mtazamo wangu
Kwa wale wanao tamani kujifunza Android Programming waweza kunitext WhatsApp 0682329852 gharama yake ni rahisi tu Tsh 10000 kwa ajili ya vitabu mafunzo na usimamizi mwingine ni bure
Vigezo ujue kusoma na kuandika na pia uwe na computer
0 Comments