JIKU TECH maana yake ni Technolojia ya kujifunza kutangulia, mwanzilishi wa Jiku Tech alitumia muda mwingi sana kujifunza namna mbalimbali za kujipatia kipato kupitia intaneti kwa namna yoyote anayo amua mtu , yeye binafsi alichagua kupata kipato kwa kutumia ujuzi wa programming.
Na Hivyo ni shuhuda wa kwanza kwamba unaweza ukajifunza jambo kwa muda mrefu lakini ukatumia muda mfupi kufanikiwa nalo na ikawa mshangao kwa watu kwa kuwa hawawezi kujua wewe ulijifunza lini.
Karibu katika safari ya kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia.
0 Comments