Jiku Tech Tips
Ni Street Codding Instructor, Mafundisho yangu hayafanani kabisa na mafundisho ya Chuoni
Utofauti huu upo ili kuepuka mtu kushindwa kutekeleza taaluma aliyo ipata impatie fedha kwenye jamii.
Wengine wamekuwa wakipuuzia mfumo wangu wa kufundisha kwa kuwa hawajawahi kuona ila ni namna nzuri iliyopangiliwa kiasi watu wote wanafuata na kutekeleza miongozo yote inayo tolewa wanafanikiwa sana katika. Suala la kufanya development
SIKILIZA KWA MAKINI MUONGOZO HUU UTAKAO KUPA UJASIRI WA KUFUATILIA TAALUMA YA TEHAMA.
0 Comments