Email/barua pepe
Nini maana ya baruapepe ni njia ya kisasa ya kutuma na kupokea ujumbe kwa kutumia vifaa vya kielectroniki.
Barua pepe
Ni mfuatano wa herufi zinazo tambulisha akaunti ya boksi la barua akaunti hiyo inaweza kutuma na kupokea ujumbe.
Matumizi ya email hayatofautiani sana na namba ya simu namna ya utendaji ndio kidogo kuna kautofauti
Email / barua pepe yenyewe hauwezi piga simu
Lakini unaweza tuma ujumbe wa maandishi , picha , video na fomati mbalimbali za documenti
UNAWEZA KUJIFUNZA ZAIDI KUHUSIANA NA BARUAPEPE HAPA
0 Comments