Android
Huu ni mfumo endishi wa simu za mkononi yaani simu janja kuna upana wake kwenye kuelewa habari ya mfumo endeshi .
Mfumo endeshi ni kama uwanja wa mpira ambao unaunganisha mawasiliano katika ya hardware na software za kifaa cha ki electroniki.
Mfumo endeshi ndio kama sehemu ya Apps kujidai ndio mazingira ya namna wezeshi ya zenyewe kufanya kazi
Kwa bahati mbaya simu janja namna ya kubadilisha mfumo endishi ni sio rahisi kama ilivyo kwa kompyuta kwamba unaweza badilisha muda na wakati wowote unao taka ni ukafanikiwa
Mfano wa mifumo endeshi ingne ni kama
iOS ambao unatumiwa na simu za Apple iPhone.
0 Comments