Hello Mtembeleaji wa Jiku Tech Tips
Nna habari njema kwa wana tehama wote wenye ujuzi wa kutumia spreed sheet kwa kiwango chao kwamba wanaweza kutumia uwezo huo kujipatia kipato kwa namna tatu ambazo nitaenda kuku elezea hapa moja kwa moja
Namna ya kutumia spreed sheet kujiingizia kipato kwa namna mbalimbali zifuatazo
Kufanyia watu kazi mbalimbali za mahesabu
Kutengenezea watu mobile app na kulipwa
Kujitengenezea android app na kisha kupublish kwenye soko la app la Google Play store na kisha kujipatia kipato kwa njia ya mtandao kupitia matangazo unayopatiwa na makapuni mbalimbali yanayo fanya kazi hizi mfano kwa upande wa mobile applcation kampuni maarufu ya matangazo ni admob kampuni ambayo wanakulipa wewe matangazo yao yakiwa yanaonekana kwenye kazi yako
0 Comments