Privacy Policy

Header Ads Widget

Jamii inayo weza kulipa kwa ujuzi wako

 


Ukiachana na Ndugu jamaa na marafiki wanao kufahamu .

Mimi Nazani mtu kuna umuhimu flani wa kutafuta jamii yako duniani ya watu wanao kuamini kwa maana mchakato wa kuwa bora kati ya walio bora ni mrefu sana.


Na kwenye huo muda mrefu unahitaji fedha. Ukisubili mpaka uwe bora je hapa katikati utaishije ??? Kwa kipato chako mwenyewe??


Jamii ni watu kuanzia hata watano nazungumzia wale ambao wana kuamini.

Kwa sababu hata ukiwa na kitu ambacho sio bora sana kama cha wengine wenyewe  wata kithamini kwa kua wanakuamini, kwa kua icho kitu kimetoka kwako wewe wanae mwamini.


Kuna Aina Mbili Kubwa za Biashara


Kuuza Huduma AU Kuuza  Bidhaa


Unatakiwa uwe na chochote ambacho unaweza kumpa mtu na yeye akakupa fedha ,  Mtu huwa analipia thamani. Hata ukibahatika kupata pesa bila kubadilishana hiyo ni bahati na bahati huwa sio nyingi kwenye maisha. Wakati bahati ni chache  Mahitaji ya FEDHA yenyewe ni Mengi Sana Hata Watabiri wameshindwa kujua Au Kutabiri Yataisha Lini.


Kuwa nacho hicho kitu hakuhitaji mtaji ukiwazia mtaji hautafanya chochote 


Unatakiwa kufanya chochote unacho weza hata kwa udogo 

Jambo kubwa na la umuhimu ufanye kitu ambacho unaweza kuanza na kukimaliza hata kama ni kadogo sana.




Zingatia 

Lazima ufahamu mchakato wowote kwanzia mwanzo mpaka mwisho ili useme


Ama

-Najua kutengeneza redio

-Najua kutengeneza Facebook page

-Najua kutumia Online Marketing Auto Responder 

-Najua Graphics Design

-Najua Web Development

-Najua Kulima nyanya sio kubahatisha

-Najua kusuka

-Najua Kuandika Vitabu (Typing & Formatting)

-Najua Kutengeneza Android App( Makampuni watakupa pesa kwa kuonesha matangazo yao kwenye App yako)

-Najua Database management

-Najua Ethical Hacking


Ama chocho yaani hapo ni hata kama unaweza Task moja kati ya zote kwenye vipengele hivyo  na vingine ambavyo sija orodhesha.



Mwisho kabisa napenda kukaribisha watu kama


1. Wanao weza kufanya masoko( kwa sababu kufanya masoko bila bidhaa yako ni sio kipato cha kudumu)


2. Mafundi Simu, Redio, Computer, Television na mafundi wengine ambao kazi yao ina wa gharimu kusubilia wateja ofisini kwao, Wenye Computer.


Watu hawa ambao wanakaaa muda mwingi sehemu moja wanaweza kujifunza jambo lolote na wakalielewa kwa kuwa kuelewa jambo lolote kuna hitaji muda mwingi.


Nawakalibisha wajiunge na Mafunzo ya Kutengeneza Mobile Application na Web Development

Na kama mtu unakuwa hauelewi na maanisha nini kujiunga na mafunzo haya basi kabla ya kujiunga pitia pande mbalimbali ujue manufaa ya kujifunza vitu hivi kisha ukiona ume elewa ujiunge kama utakuwa hauja elewa 

Unaweza kuwasiliana na mimi 0682329852


Kwa Yule anae tamani kujifunza Android Programming yaani kuanza na kumaliza somo hili basi kuna vitabu vyangu vitatu vinavyo kamilisha suala hili.


1. Kitabu cha utangulizi Tsh 5000/= page 50


2. Mtaala wa Android Programming na maelezo mengi page 159. Tsh 15,000/=


3. Jinsi ya Kutengeneza Dynamic Application kama Facebook page 70 Tsh 5000/=



Kwa wale wanao hitaji kujifunza Web Development kuanzia mwanzo mpaka mwisho 


Kuna kitabu chao kimoja kina uzwa Tsh 10,000/= page 39



Kwa Wale Ambao hawahitaji Masuala ya Programming wanaweza kujifunza mkakati wa ujasiliamali mtandao ambayo hayahusiani na  masuala ya Computer Programming


Kuna kitabu kwa ajili yao kitabu kina uzwa Tsh 10,000/= page 42


<<<<<< JISAJILI KUPATA MAFUNZO YA KUTENGENEZA APPLICATION ZA SIMU. >>>>


Post a Comment

0 Comments