Privacy Policy

Header Ads Widget

Create,Read, Update and Delete Data SWAHILI

Type Writter

 CRUD Operation 



Create,Read, Update and Delete ni function nne Muhimu ambazo utendaji unatakiwa utekeleze.

Create,Read, Update and Delete

Mara nyingi nadharia hii hutumika sana wakati wa kutengeneza API, Utengenezaji wa API una tegemea sana hizi function nne ambazo ni KUUNDA,KUSOMA,KUHUISHA NA KUFUTA taarifa.

Wataalam wa compyuta hufupisha neno hili kwa kiingereza -CRUD 
Utendaji wa API lazima uweze michakato hii mi nne.

Nadharia hii hutumika pia wakati wa kutengeneza Web Application kwa sababu inatengeneza mfumo mzuri wa kukumbuka muundo wa kazi inayo endelea na ina kuwa rahisi kwa mtengenezaji kufanya maboresho mbalimbali.

Nimezungumza CRUD operation ili upite kwenye vyanzo vingine ufuatilie habari ambayo ni muhimu sana kuifahamu kwa namna yoyote ile kama unajifunza PROGRAMMING.

Nilisema pia nafundisha Android Development, Ili mtu kukamilika katika taaluma hiyo lazima apite kwenye uelewa huu.

Kuna kitabu changu kina jina la
 Android Networking Tsh 5000/=

Katika kitabu hicho kuna somo hilo la CRUD
Ambalo lina husisha mambo mawili
Server programming na Android Programming 

Server Programming katika Kitabu utajifunza Kutengeneza API za kufanya mawasiliano na Android App yako

Android Programming katika kitabu utajifunza programming ya jinsi ya kutuma taarifa kwenye server , kupokea taarifa kutoka kwenye server, kubadilisha taarifa na kufuta taarifa

Kupata kitabu hiki ambacho kimeandikwa kwa Lugha ya KISWAHILI wasiliana 0682329852 kupata kitabu.


Post a Comment

0 Comments