Privacy Policy

Header Ads Widget

JIfunze zaidi kuhusiana na mobile app na pesa mtandaoni

 Android app

Hizi ni app kama zile zinazo onekana playstore

Wamiliki

    Ma Developer

    Wa Wekezaji

Ma developer hawa ni watu wanao tengeneza applicstion wenyewe kwa kutumia software maalum zilizotengenezwa na wazungu kwa ajili ya kutengeneza program mbalimbali software hizo mfano ni android studio, visual studio code, intel j na mfano wa program zinazotengenezwa na software hizi ni

App ya branch , tala , ma Game ya kwenye simu

 

Wa wekezaji hawa ni wale ambao wao wananunu app Fulani mara tu baada ya kuona fursa katika wazo Fulani ambalo linaweza kuwa hadharani kama mobile app

 

Kwa sasa nitajikita sana kuelezea ni kwa namna gani unaweza kujipatia pesa mtandaoni kwa kupitia kumiliki moja ya vitu nlivyo taja hapo juu hususani Mobile Application

 

Mchakato Wa Kupata Pesa Kupitia Mobile App

o  Hatua Ya Kwanza Ni Wazo

o  Hatua Ya Pili Ni Kumiliki Mobile App Haijalishi Umetengeneza Wewe Au Umetengenezewa.

o  Hatua Ya Tatu Ni Ku Publish Mobile App Katika Soko La Playstore Ambapo Lazima Uwe Na Akaunti Ya Google Play Console Ambayo Inakuwa Na Uwezo Wa Kupublish Mobile App Zaidi Ya Moja. Akaunti Hii Gharama Ya Kuifungua Ni Takribani Dollar Za Kimarekani 25$ Ambazo Unalipa Kupitia Laini Ya Simu Yako Kwa Njia Ya Mastercard.

 

o  Hatua Ya Nne Ni Kufanya Promotion Mara Ya Baada Yak U Publish Mobile App Yako Kwenye Soko La Playstore ,Kama Unaona Ugumu Wa Kufanya Hivyo Kuna Makampuni Na Watu Binafsi Wanfanya Kazi Ya Promotion Ya Vitu Mbalimbali Mtandaoni Unawalipa Kiasi Kidogo Cha Pesa Wanafanya Kwa Niaba Yako.

 

o  Hatua Ya Tano Na Ya Mwisho Ni Kujisajili Na Kampuni Maarufu Ya Admob , Kampuni Ambayo Watakulipa Kwa Kuweka Matangazo Yao Kwenye Application Yako .

 

Baada ya kusoma na kuelewa napenda kujulisha kwamba kazi au fursa za mtandaoni ni kazi ambazo jasho linakutoka mara tu unapoanza lakini zikisha anza kuingia pesa ni  hata kama umelala asubuhi ukicheki dashboard yako unaona kama zimeongezeka ,  hivyo ni aina flani ya uwekezaji ambao mlolongo wake ni maneno macheche tu kama haya lakini matokeo yake ni makubwa

 

Chakufanya kama umependezwa ukitaka kupata pesa kwa njia hii jifunze kutengeneza mobile app kwa kutumia software kama nlivyo kutajia hapo juu, kwa maana kujifunza ni kitu ambacho kitakuchukua mda mrefu kidogo basi njia rahisi ni kutafuta wazo zuri litakalo fanya vizuri sokoni na kumtafuta mtengenezaji kwa ajili yakukutengenezea  mobile app kutoka kwenye wazo lako.

Kujifunza taaluma hii unaweza pitia vitabu vyangu viwili vinavyofundisha mchakato wa kutengeza mobile app mwenyewe
Vitabu hivi vipo viwili

1. Utangulizi wa Android Programming kwa kiswahili

2. Nadharia ya kuweka,kubadili,kufuta na kutazama taarifa kwenye kutoka kwenye server kwa kutumia android app. i.e zana ya kutengeneza duka la mtandaoni

Gharama ya kitabu kimoja ni Tsh 5,000/= kitabu unatumiwa WhatsApp Baada ya kufanya malipo

Ili kupata PDF fupi fupi za bila malipo kuhusiana na hili unaweza Jiunga kwa kuweka taarifa kwenye fomu hapo chini

Jiunge Kupata PDF fupi fupi za Bila Malipo
Kwenye WhatsApp Yako

* indicates required
Weka Email yako
Jaza Jina la Kukutambulisha
Iwe Ina Support WhatsApp na Normal Call

Intuit Mailchimp



Post a Comment

1 Comments